sw.news
76

Bado Kusema Ukweli Ni Halali: "Ushoga Ni Hatari Dhidi Ya Afya"

Daktari jasiri Mwitaliano Silvana De Mari, mwenye umri wa miaka 64, alishtakiwa kwa polisi na wanaharakati wa ushoga baada yake kusema ukweli kuwa vitendo vya ushoga ni "hatari dhidi ya afya". De Mari …Zaidi
Daktari jasiri Mwitaliano Silvana De Mari, mwenye umri wa miaka 64, alishtakiwa kwa polisi na wanaharakati wa ushoga baada yake kusema ukweli kuwa vitendo vya ushoga ni "hatari dhidi ya afya". De Mari alionya kupitia kwa mtandao wa kijamjii kuhusu ongezeko la idadi ya maradhi ya zinaa miongoni mwa shoga.
De mari ana ujuzi wa miaka arobaini katika kutibu maradhi ya zinaa katika wagonjwa shoga. Amegundua kuwa ushoga sio jambo la kawaida , ila ni "hali ya kuhuzunisha". Katika eneo la Magharibi mwa Bara Uropa ushoga ndio hatari kuu ya uambukizaji wa maradhi kama vile sekeneko miongoni mwa magonjwa mengine.
Kulingana na Breitbart (Desemba 3) ilimchukua mkuu wa mashtaka ya umma wa Italia muda wa miezi ili kutoa uamuzi kumwondolea De Mari mashtaka hayo.
Picha: Silvana De Mari, #newsZrrtfhmtsx