Kasisi Wa Zimbabwe Alijaribu Kutembea Juu Ya Maji - Aliliwa Na Mamba
Jumamosi asubuhi, kasisi wa kiprotestanti, Jonathan Mthethwa, alailiwa mzima kwa muda wa dakika chache na mamba watatu baada ya kujaribu kutembea juu ya maji ya mto uitwao Mto wa Mamba, Zimbabwe. …Zaidi
Jumamosi asubuhi, kasisi wa kiprotestanti, Jonathan Mthethwa, alailiwa mzima kwa muda wa dakika chache na mamba watatu baada ya kujaribu kutembea juu ya maji ya mto uitwao Mto wa Mamba, Zimbabwe.
Mthethwa alikua wa jamii ijulkanayo kama "Kanisa la Mtakatifu wa Siku za Mwisho" lipatikanalo Mto Mweupe, Mpumalanga. Lengo lake lilikuwa kuonyesha imani yake kwa waumini wake kwa kuiga Yesu akitembea juu ya maji.
Asili: Herald Zimbabwe
Picha: © Radek Vitoul, CC BY, #newsBsxdhvjalx

- Ripoti
Mitandao ya kijamii
Badilisha chapisho
Ondoa chapisho