sw.news
70

Mlo Mkombozi Wa Bologna Na Papa Francis :-)

Wafungwa wawili Wataliano ambao walihudhuria chakula cha mchana kilichokuwa kimeandaliwa na Papa Francis kwa lengo la kuwasaidia maskini katika Basilika moja mjini Bologna, nchini Italia, walitumia fursa hiyo kutoweka kulingana na taarifa za vyombo vya habari nchini Italia. Wawili hao walikuwa miongoni mwa kikundi cha wafungwa ishirini kutoka jela lililo karibu na Modena na walikuwa wa kitengo cha wafungwa katika gereza hilo walioorodheshwa kuwa hatari kwa usalama wa umma.

#newsNvtrcsgjmv