Lugha
3

Kadinali Marx Hudanganya Usoni Mwa Dunia, "Sikutaka Kuwe Na Baraka Kwa Shoga"

Wakati wa kikao na wanahabari (Februari 19) kabla ya kuanza kwa mkutano wa Maaskofu Wajerumani unaoendelea mjini Ingolstadt, Kadinali Marx wa Munich alishangaza ulimwengu aliposema kuwa "Kamwe …
Andika maoni …
10

Maaskofu Wawili Wajerumani Wapinga Baraka Za Kishoga

Askofu mtetezi ushoga Gebhard Fürst wa Rottenburg-Stuttgart na Askofu mhifidhina Stephan Burger wa Freiburg wamepinga idea dhana ya Kadinali Marx kuwabariki wenzi walioko katika uhusiano wa kishoga…
Andika maoni …
5

Onyo La Francis Halikuwa Na Mafanikio, Askofu Aliyekatalwa Ajiuzulu

Papa Francis alipokea mnamo tarehe 19 mwezi Februari barua ya kujiuzuli kwa Askofu Peter Okpaleke, mwenye umri wa miaka 54, wa Ahiara, kusini mwa Nigeria. Askofu huyo alikataliwa na makasisi wake …
Andika maoni …
11

Hatua Itakayofuata Nchini Ujerumani: Ekaristi Kwa Waislamu

Ni "jambo la kawaida" nchini Ujerumani kuwa Waprotestanti walioko kwenye "ndoa kati ya wenzi kutoka kwa kabila au dini tofauti" kupokea Ekaristi, Stephan Orth aliandika kwenye mtandao wa maaskofu wa …
Andika maoni …
34

Sinodi La VIjana La Francis Latatizika Kabla Ya Kuanza

Uongozi wa Shirika la Kikatoliki la Wanaskauti la French Scouts d’Europe limeeleza hadharani kutofahamu kwake baada ya kugundua atakayetumwa na Maaskofu wa Ufaransa huko Roma mnamo mwezi Machi …
Andika maoni …
40

Makubaliano Mabaya Ya Vatikani Yatakamilika Mwezi Aprili.

Vatikani ya Papa Francis iko tayari kupatiana uteuzi wa Maaskofu wa China kwa utawala wa China. Makubaliano yatafikiwa baada ya mwisho wa Machi, kituo cha Corriere della Sera (February 17) kimeand…
Andika maoni …
37

Francis "Papa Mbaya Zaidi Kamwe" _ Mwanafalsafa Asema

Upapa wa Francis ni "janga kuu" kulingana na John Rist, profes mtafiti wa filosofia katika Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Cha Marekani. Akizungumza na LifeSiteNews (Februari 15) alisema kuwa "Huenda …
Andika maoni …
38

Dayosisi Ya Australia Yakubalisha Kuchukuliwa Kwa Picha Za Kishoga Katika Kanisa Kuu Maarufu

Kuchukuliwa kwa picha za sherehe kishoga ya Life Ball iliyoratibiwa kufanyika mnamo tarehe 22 mwezi Juni mjini Vienna, nchini Australia, kulifanyika katika Kanisa rembo la Mtakatifu Michael mjini …
Andika maoni …
26

Francis Kuhusiana Na Utawazaji, "Benedict Nami Tumo Katika Orodha Tukisubiri"

Papa Francis alitangaza kwamba atamtawaza Paul VI (+1978) kuwa mtume baadae mwaka huu. Akiwahutubia makasisi Warumi mnamo siku ya Alhamisi, Francis alikumbuka, kwamba aliwaawaza hivi maajuzi …
Andika maoni …
41

Makubaliano Ya Francis Ya China Yalikataliwa Na Mapapa Waliomtangulia

George Weigel, ambaye aliandika wasifu wa John Paul II, amekosoa makubaliano yanayotarajiwa kati ya Vatikani na China. Akiandika kwenye mtandao wa foreignpolicy.com (Februari 15), Weigel aliuliza …
Andika maoni …
26

Je Papa Francis Ana Kitu Kingine Kisichotarajiwa?

Kuna uwezekano fulani kuwa katika juma la Pasaka huenda Papa Frncis akatoa kisichotarajiwa kwa Kanisa kulingana na mwanahabari Marco Tosatti huku akirejelea duru dhabiti huko Vatikani. Tosatti ameand…
Andika maoni …
27

Papa Francis Hutangaza Anselm Grün

Mnamo tarehe15 mwezi Februari, Papa Francis alizungumza na makasisi wa Dayosisi yake katika Kanisa kuu la Roma la Mtakatifu John huko Lateran. Aliwaambia wasome kitabu cha Kasisi mhuria Mjerumani …
Andika maoni …
29

Kadinali Mhuria, Francis "Mabadiliko Ya Dhana" Yana "Mizizi Katika Baraza"

Anachokifanya Papa Francis, kina mizizi katika Baraza la Pili la Vatikani, Kadinali mhuria wa Chicago Blase Cupich amedai. Akizungumza na The Tablet (Februari 14), Cupich anaamini kwamba Francis …
Andika maoni …
43

Francis Anashida ya kutunza Katekisimu

UleCorriere della Sera (mwezi wa Februari tarehe kumi na tano) ulichapisha sehemu za mazungumzo ambayo Papa Francis alikuwa nayo mwezi wa Januari kule Chile na Peru pamoja na Wajesuti. Francis aliwaa…
Andika maoni …
50

SSPX, Papa Francis " Sio Mzuri au Mbaya "Kuliko Waliomtangulia

Papa Francis sio mbaya au mzuri kuliko mapapa wengine baada ya kamati ya pili ya Vatikani kulingana na Padre Fausto Buzzi, msaidizi wa mkubwa wa Wilaya Society of Saint Pius X kule Uitalia. Akizung…
Andika maoni …
39

Gazeti La Kihuria, Kweli Papa Wote Wa Hivi Maajuzi Ni Watakatifu?

Mwanahabari mtetezi wa Francis Mollie Wilson O'Reilly alimuuliza Papa "kuacha kumfanya kila papa mtume" huku akiswma kuwa ni "ni sadifu kuu kwa Papa wote tangu Papa Pius XII -, Pius XII mfaafu - …
Andika maoni …
28

Vatikani Inawatuza Wasaliti Na Kuwaadhibu Walio Waaminifu

Kadinali Wa Hong Kong Joseph Zen haogopi kanisa lenye mgawanyiko lililoundwa na Wakomunisti wa China kwani litatoweka utawala huo utakapoanguka, "Lakini Kaniso lenye mgawanyiko na baraka za Papa ni …
Andika maoni …