sw.news
42

Hoja tatu Muhimu Zinazomuungz Mkono Na Kumpinga Francis

Kuna hoja tatu muhimu ambazo zinaoinga au kuunga mkono jaribio la Papa Francis kuyabadilisha mafunzo ya Kanisa kuhusu ndoa, mwanahabari wa Mmarekani Ross Douthat aliambia NcRegister.com (Aprili…
sw.news
17

Askofu Wa Maronite Ahitilafiana Na Uzushi Wa Francis

Jahanamu ni hali ya kujitenga na ushirika na Mungu, Askofu wa Maronite Kadinali Béchara Cardinal Raï ameandika kwenye kijitabu cha kimafundisho cha "The Truth That Liberates and Unites", kilichotolew…
sw.news
22

Kadinali Burke Amefikiria Kuhusu Kuharamishwa Kwake

Kadinali Raymond Burke ameambia mtandao wa LifeSiteNews.com (Aprili 17) kwamba amepata ona lake kuharamishwa na Papa Francis kwa sababu ya kuupinga mkondo [wa kizushi] wa Amorisa Laertitia …
sw.news
18

Maaskofu Waholanzi: "Hakuna Wakati" Wa Francis

Maaskofu Waholanzi hawatasherehekea asimisho la kuchaguliwa kwa Francis licha ya hili kuwa desturi dhabiti kwa muda mrefu, kituo cha Nederlands Dagblad (Aprili 17) kilitangaza. Kwa mara ya kwanza…
sw.news
23

Gaudete et Exsultate "Inasikitisha Sana"

Shsuri la kichungaji la Francis Gaudete et Exsultate ni ulinzi uliofichwa wa nakala tatanishi ya Amoris Laetitia kulingana na Padre wa New York Gerald Murray. Akizungumza na kituo cha EWTN (Apri…
sw.news
23

Uhusiano Wa Kisiri Kati Ya "Gaudete et Exultate" Na "Amoris Laetitia"

Nakala za Francis pia hudhibitisha imani halisi, ameandika Dan Hitchens, naibu mhariri katika mtandao wa CatholicHerald.co.uk, kwenye mtandao wa firstthings.com (Aprili 12). Lakini pia huwa na mamb…
sw.news
26

Vatikani Inaelekea Kuwasaliti Wakatoliki Wachina - Kadinali Zen

Kadinali Joseph Zen amesema kwamba Waziri wa Masuala ya Mataifa ya Kigeni wa Vatikani, Kadinali Pietro Parolin, anataka kulisaliti Kansia Katoliki Nchini Uchina. Kanisa hulazimika kujificha nchini …
sw.news
37

Francis Kuhusu Wasioamini Uwepo Wa Mungu, "Yuko Mbinguni, Nina Uhakika."

Wakati wa ziara yake kwenye Parokia ya Corviale (Aprili 15), Popa Francis alikutana na mvulana mmoja aitwaye Emanuele wambaye alimwendea Francisa na kusema, "Baba yangu ameaga dunia, alikuwa mwema,…
sw.news
20

Maaskofu Wa Kanada Walijadili Kuutupilia Mbali Useja

Maaskofu Wakatoliki wa Quebec wamejadili kuutupilia mbali useja wakati wa mkutano katikati mwa mwezi Machi, kituo cha Catholic Herald (Aprili 6) kimetangaza. Kulingana na Askofu msaidizi wa Quebec …
sw.news
18

Marekebisho Ya Kuchukiza: Upungufu Katika hudhurio La Ibada ya Misa NI Mwingi Zaidi Chini Ya Papa …

Hudhurio la kila juma miongoni mwa Wakatoliki wa Marekani limeshuhudia upumgufu mwingi tangu kuchaguliwa kwa Papa Francis kulingana na Gallup Poll (Aprili 9), Hudhurio lilikuwa asilimia 39 tangu mwak…
sw.news
21

Francis Hupinga Kufanywa Upya Kwa Novus Ordo - Kadinali Sarah

Mwanahabari Mholanzi Hndro Munsterman ameripoti kupitia kwa mtandao wa Twitter (Aprili 3) kwamba "Wakati wa ziara ya kibinafsi kwa Watawa wa Wabenedikti nchini Uholanzi, Kadinali Sarah alisema …
sw.news
17

Ombi Dhidi ya Vita Dhalimu Nchini Syria: "Wengine Wetu Hukumbuka Vita Vya Pili Vya Ulimwengu"

Mwanahabari Mmarekani/Mjerumani Maike Hickson na mumewe, Daktari Robert Hickson, mwenye shahada katika chuo kikuu cha West Point na aliekuwa mwanajeshi katika kikosi cha Special Forces, …
sw.news
27

Blogu La Askofu : Uchaguzi Wa Francis Ni Batili

Askofu Mstaafu Rene Gracida, 94, wa Corpus Christi, Texas, alichapisha kwenye mtandao wa Abyssum.org (Aprili 7) nakala ya mgeni ambaye hakutambulishwa ambayo inatilia shaka kuchaguliwa kwa Papa …
sw.news
13

Shirika La Malta Lawaadhibu Wapinzani Wake

Wanachama wa Shirika la Malta kote duniani wameonywa dhidi ya kukiunga mkono kitabu cha “The Dictator Pope” au mwandishi wa kitabu hicho, kituo cha Catholic Herald kimetangaza. Onyo hilo lilitumwa…
sw.news
20

Wote Walioko Kwenye Opus Dei Huunga Mkono "hekima" ya Papa Francis

Shirika la Opus Dei halina shida na Papa Francis ila linamuunga mkono pamoja na kazi yake, kulingana na mkuu wake nchini Marekani, Monsignore Thomas Bohlin. Kwenye barua yake kwa New York Times (…
sw.news
12

Askofu Mwaustria: "Mkunjufu" Francis Hukataa Kuwa "Mkunjufu"

Askofu msaidizi mstaafu wa Salzburg Andreas Laun amesema kwamba Papa Francis hupenda sana kuzungumzia ukunjufu na neema lakini, wakati uo huo, kuwatupilia mbali hata makadinali, wanaposhuku …
sw.news
27

De Mattei: " Baba Mtakatifu, Wewe Ndiwe wa Kwanza Kuwajibikia Utata"

Papa Francis hajasababisha utata ulioko Kanisani peke yake. Yeye pia ni mazao ya utaratibu wa kujibomoa kwa Kanisa ulio na mizizi ya ustaarabu, Nouvelle théologie, Baraza la Pili la Vatikani, na …
sw.news
14

Askofu Mkuu Wa Philadelphia Akisifu Kitabu Ambacho Kinamkashifu Francis Vikali

Askofu mkuu wa Philadelphia Chaput alikiita kitbau cha Ross Douthat To Change the Church "chenye maarifa na cha kuvutia". Douthat ni mwandishi na mwandishi wa habari wa gazeti la habari bandia la …
sw.news
18

Hakuna "Sahihisho Rasmi" Kwa Sababu Brandmüller Alipoteza Ukakamavu Wake

Kadinali Raymond Burke hahatoa sahihisho rasmi la Amoris Laetitia, kama alivyotangaza mara kadhaa mnamo mwaka wa 2017. Hilary White aliandika kwenye blogu lake whatisupwiththesynod.com (Aprili…
sw.news
28

Askofu Mjerumani, Makasisi walioolewa ni Vigumu

Askofu Peter Kohlgraf wa Mainz, Ujerumani, “ana hakika ” kuwa useja utamalizwa katika miaka ijayo. Kohlgraf alizungumza na German anti-church monthly Herder-korrespondenz. Alikiri kuwa kumaliza …