sw.news
37

Askofu Mpya Mwayalandi Aliongoza Seminari Iliyokumbwa Na Kashfa Za Ushoga

Papa Francis alimtangaza Padre Dermot Farrell mnamo tarehe 3 Januari kuwa Askofu wa Ossory, nchini Ayalandi.

Farrell alikuwa rais wa Seminari ya kipekee ya Kiayalandi mjini Maynooth tangu mwaka wa 1996 hadi 2007 na tangu mwaka wa 2009 hadi 2018 alikuwa Padre Mkuu katika Dayosisi ya Meath.

Church Militant imetangaza kuwa Maynooth ilididimia sana chini ya uongozi wa Farrell. Waseminari waaminifu waliteswa na kufurushwa, huku tamaduni za kishoga zikinawiri.

Kulingana na Church Militant Farrell "alisimamia kashfa za kishoga huko Maynooth".

Picha: Maynooth, © Bart Busschots, CC BY-NC-ND, #newsWyqbnqvsap