Lugha
17

Makubaliano Ya Francis Ya China Yalikataliwa Na Mapapa Waliomtangulia

George Weigel, ambaye aliandika wasifu wa John Paul II, amekosoa makubaliano yanayotarajiwa kati ya Vatikani na China. Akiandika kwenye mtandao wa foreignpolicy.com (Februari 15), Weigel aliuliza …
Andika maoni …
25

Je Papa Francis Ana Kitu Kingine Kisichotarajiwa?

Kuna uwezekano fulani kuwa katika juma la Pasaka huenda Papa Frncis akatoa kisichotarajiwa kwa Kanisa kulingana na mwanahabari Marco Tosatti huku akirejelea duru dhabiti huko Vatikani. Tosatti ameand…
Andika maoni …
26

Papa Francis Hutangaza Anselm Grün

Mnamo tarehe15 mwezi Februari, Papa Francis alizungumza na makasisi wa Dayosisi yake katika Kanisa kuu la Roma la Mtakatifu John huko Lateran. Aliwaambia wasome kitabu cha Kasisi mhuria Mjerumani …
Andika maoni …
28

Kadinali Mhuria, Francis "Mabadiliko Ya Dhana" Yana "Mizizi Katika Baraza"

Anachokifanya Papa Francis, kina mizizi katika Baraza la Pili la Vatikani, Kadinali mhuria wa Chicago Blase Cupich amedai. Akizungumza na The Tablet (Februari 14), Cupich anaamini kwamba Francis …
Andika maoni …
42

Francis Anashida ya kutunza Katekisimu

UleCorriere della Sera (mwezi wa Februari tarehe kumi na tano) ulichapisha sehemu za mazungumzo ambayo Papa Francis alikuwa nayo mwezi wa Januari kule Chile na Peru pamoja na Wajesuti. Francis aliwaa…
Andika maoni …
49

SSPX, Papa Francis " Sio Mzuri au Mbaya "Kuliko Waliomtangulia

Papa Francis sio mbaya au mzuri kuliko mapapa wengine baada ya kamati ya pili ya Vatikani kulingana na Padre Fausto Buzzi, msaidizi wa mkubwa wa Wilaya Society of Saint Pius X kule Uitalia. Akizung…
Andika maoni …
38

Gazeti La Kihuria, Kweli Papa Wote Wa Hivi Maajuzi Ni Watakatifu?

Mwanahabari mtetezi wa Francis Mollie Wilson O'Reilly alimuuliza Papa "kuacha kumfanya kila papa mtume" huku akiswma kuwa ni "ni sadifu kuu kwa Papa wote tangu Papa Pius XII -, Pius XII mfaafu - …
Andika maoni …
27

Vatikani Inawatuza Wasaliti Na Kuwaadhibu Walio Waaminifu

Kadinali Wa Hong Kong Joseph Zen haogopi kanisa lenye mgawanyiko lililoundwa na Wakomunisti wa China kwani litatoweka utawala huo utakapoanguka, "Lakini Kaniso lenye mgawanyiko na baraka za Papa ni …
Andika maoni …
39

Mwanahabari Mkatolki Na Aliyebadili Dini Aadhibiwa Na Hakimu Mwitaliano

Mwanahabari Mwitaliano Danilo Quinto, aliyebadili dini na kuwa Mkatoliki na aliyekuwa mweka hazina wa Kikundi Kikali kilichovunjika (Partito Radicale), mojawapo ya vikundi viovu zaidi vya Kitaliano, …
Andika maoni …
38

Benedikto XVI Augua Ugonjwa wa Mishipa ya Fahamu -Kulingana na Kaka yake

Ugonjwa unaofanya neva humkaza Benedikto XVI vibaya sana na kumfanya kutegemea kiti cha magurudumu kabisa, kakaye Georg Ratzinger, 94, aliambia gazeti la Ujerumani la burudani Neue Post (mwezi wa …
Andika maoni …
41

Banki Kuu ya Uropa :EU Inataka Uhamaji Mkubwa

Taarifa ya Banki Kuu ya Uropa kule Frankfurt (mwezi wa Februari tarehe nane) yaandika kuwa wahamiaji ni (rasilimali muhimu "inayotaka "kutumika "kwa sababu wahamiaji hao ni wachanga na kudaiwa kuwa …
Andika maoni …
37

Maaskofu Wanaounga Mkono Mashoga Wampinga Askofu Laun

Kadinali wa Vienna Schönborn na Askofu Mkuu wa Salzburg Lackner walimkosoa Askofu Andreas Laun kwa kusema kuwa maovu ya mauti kama vile ndoa bandia za mashoga, makambi za kuwekwa wakfu au …
Andika maoni …
38

Askofu Mwingine wa Ujerumani Akubali Ndoa Bandia ya Ushoga

Kasisi wa Pallottine Siegfried Modenbach ambaye hushiriki Dortmund, Ujerumani, amebariki ndoa mbili za bandia za ushoga hapo zamani. Evangelisch.de (mwezi wa Februari tarehe sita) anasema kuwa Askofu…
Andika maoni …
44

Kufunga? Kwa Wachina Mwaka Mpya Ni Muhimu Zaidi

Kadinali wa Manila Luis Antonio Tagle aliwaondoa waumini wake kutofunga kutoka mwezi wa Februari tarehe kumi na sita, Ijumaa ya kwanza ya kufunga, kwa sababu inaenda sambamba na Mwaka Mpya wa …
Andika maoni …
36

Kadinali Neocon :Benedikto Alimfungulia Francis Njia

Ishara kubwa ya mabadiliko wa Upapa katika wakati wetu ulikuwa uamuzi wa Benedikto XVI kujiuzulu, alisema Kadinali Marc Ouellet, 73, kinara wa Congregation of Bishops. Akizungumzia Vatican News (…
Andika maoni …
49

Askofu wa Uchina Atawaacha Kondoo Wake Akiambiwa na Vatikani

Moja wa maaskofu wawili wa Ukatoliki Wachina ambao Vatikani iliuliza kujiuzulu ili kumpa nafasi askofu atakayetawala, waitikie. Kulingana na New York Times (mwezini mwa Februari tarehe kumi na …
Andika maoni …
38

Askofu Wa Australia: Hauwezi Kubariki Ndoa Za Kishoga Wala Kambi Za Mateso

Akijibu pendekezo la Kadinali wa Munich Marx "kubariki" ndoa za kishoga, Askofu msaidizi mstaafu wa Salzburg Andreas Laun alisema kuwa dhambi, yakiwemo madanguro na kambi za mateso, haziwezi …
Andika maoni …
40

Kadinali Müller, Kubariki Ndoa Za Kishoga Ni Chukizo

Akizungumza na Bratislava, Slovakia, Kadinali Gerhard Müller alikashifu "ubadilishaji wa hiari wa Kanisa Katoliki na kuwa shirika lisilo la kiserikali" unaohusiana na hali hizi za kilimwengu tu. …
Andika maoni …
30

Watawa Wafransisko Wa Immaculate - Hatua Mpya Ya Vatikani

Padre Paolo Siano, mwanachama wa taasisi ya maisha ya kidini ya Wachungaji Wafransisko wa Immaculate, aliandika kwenye blogu la Marco Tosatti (Februari 7) kuwa mjumbe aliyedukizwa na Vatikani wa …
Andika maoni …
33

Bermuda Yafutilia Mbali Upuuzi Wa "Ndoa Za Kishoga".

John Rankin, balozi wa zamani wa Uingereza na Gavana wa sasa wa Bernuda, amepiga marufuku haki ya shoga "kufunga ndoa". Bermuda ni jimbo huru la Uingereza katika bahari za Kaskazini mwa Atlantiki. …
Andika maoni …