sw.news
73

Mwigo: Kanisa Lingine Lafanywa Baa

Knisa kuu la dayosisi Paderborn nhini Ujerumani litafanywa baa mnamo tarehe 14 mwezi Oktoba ili kuwaandalia karamu "watu maskini" waliochaguliwa.

Hii ni karamu sawa na karamu ya tarehe 1 mwezi Oktoba ambayo Papa Francis aliiandaa katika Basilika la San Petronio mjini Bologna, nchini Italia.

Picha: Paderborn Cathedral © Malchen53, wikicommons, CC BY-SA, #newsOjjkhwjtil