sw.news
45

Kunaye Anayedanganya Na Sio Kadinali Zen

Afisi ya habari ya Vatikani ilichapisha waraka (Januari 30) uliohitilafiana na kauli zilizotolewa na Kadinali wa Hong Kong Joseph Zen.

Zen aliandika on his blog (January 29) kwenye logu lake (Janusri 29) Kuwa Papa Francis alimwambia kuwa hataki kuwabadilisha Maaskofu Wakatoliki wa Uchina na Maaskofu wa Utawala wa Uchina, ingawaje ujumbe wa Vatikani ulitaka hili lifanyike.

Kauli hiyo ya Vatikanai sasa inakana "habari kulingana na kisio la tofauti katika dhana na vitendo kati ya Baba Mtakatifu na washirikianao naye". Inasema kuwa Francis "huwasiliana kila wakati" na washirika wake, hufahamishwa kwa kina, na hufuatilia "mazungumzo" na Utawala wa Uchina kwa "umakinifu maalum".

Picha: Joseph Zen © Stephen Wu, CC BY-NC-ND, #newsPqrdaqdvii