sw.news
112

Papa Francis Ana "Umaarufu" Iwapo Tu Ataitii Dunia

Herman Van Rompuy, aliyekuwa rais wa Baraza la Ulaya na mwanachama wa bodi ya hospitali za shirika la Ubelgiji la Brothers of Charity aliandika mnamo siku ya Jumapili kwenye mtandao wa Twitter: "Wakati wa Roma Locuta, causa finita ulipitwa na wakati."

Alisema hivi baada ya Papa Francis kutoa amri ya kubatilisha huduma za mauaji ya huruma almaarufu kwa Kimombo, Euthanasia, kwenye hospitali za kiakili za Brothers of Charity.

Van Romouy husemekana kuwa Mwanademokrasia Mkristo. Twiti yake inaonyesha, kuwa Papa Francis "husikika " mara tu anapokubaliana na agenda za Kihuria za kidunia.

Picha: Herman Van Rompuy, © Michiel Hendryckx , CC BY-SA, #newsQylzdsscus