sw.news
27

Marekebisho Ya Kuchukiza: Upungufu Katika hudhurio La Ibada ya Misa NI Mwingi Zaidi Chini Ya Papa Francis Katika Miongo Mingi

Hudhurio la kila juma miongoni mwa Wakatoliki wa Marekani limeshuhudia upumgufu mwingi tangu kuchaguliwa kwa Papa Francis kulingana na Gallup Poll (Aprili 9),

Hudhurio lilikuwa asilimia 39 tangu mwaka wa 2014 hadi 2017 huku tangu mwaka wa 2005 hadi 2008 ulikuwa asilimia 45.

Lilipungua hivyo basi kwa zaidi ya asilimia 10 huku likiwa thabiti miongoni mwa Waprotestanti.

Upungufu huu unaendelea tangu Baraza la Pili la Vatikani. Hata hivyo mtindo huu ulisita katika miaka ya kwanza ya upapa wa Benedict XVI lakini ukarejea kwa kishindo chini ya Papa Francis huku hudhurio likipungua kwa ghafla zaidi ikilinganishwa na miaka ya 1970.

Picha: © Mazur, catholicnews.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsGskxuuyxdu