sw.news
17

Sinodi Bandia La Vijana, "Hakuna Kashfa Dhidi Ya Misa Ya Trent" - Vatikani Yakana

Waliokuwa na jukumu la kikundi cha wazungumzao Kiingereza cha matayarisho ya Sinodi la vijana kwenye mtandao wa Facebook walijitetea mnamo tarehe 26 mwezi Machi kutokana na shutuma kwamba walisetiri madai ya Misa ya Kale miongoni mwa wanachama wa kikundi chao.

"Ni sharti ifafanuliwe kwamba hakujakuwa na kashfa yoyote dhidi ya wanaopendelea aina za kale za litajia."

Lakini hao wanathibitisha uwepo wa kashfa ya aina hiyo kwa kuwakashifu vijana wanaopendelea ibadya kale kwa kuwaita "aina ya wanaharakati" na kudai kwamba "kulikuwa na sauti zaidi zilizokuwa zikizungumza kuhusu aina za kale za liajia kushinda ukweli uliokuwepo".

"Ukweli" huko Vatiani huonekana kuelezwa vyema zaidi na vijana wakali waliochaguliwa ambao walieneza itikadi za kishoga.

Mashambulizi ya Vatikani dhidi ya vijana wa ibada ya kale hubadilika na kuwa ya kihisia na ad hominem, ""Ukosefu wa uaminifu ambao uliyakumba maoni hayo ulikuwa wa kutamausha".

Mtu anafaa kuwafunza wafanyikazi wa Vatikani njia za kitaalam zaidi za kushughulikia masuala ya madai halali

Picha: © Joseph Shaw, CC BY-NC-SA, #newsLnxbeszxfk