sw.news
49

Vatikani Yawatambua "Vijana" Wenye Siasa Kali Na Wasiomwamini Mungu

Masskofu wa Uswizi watawatuma vijana watatu kwenye Matayarisho ya Sinodi la Roma yatakayofanyika mnamo mwezi Machi kwa matayarisho ya “Youth Synod” la Papa Francis, kituo cha 20min.ch kimeripoti. …Zaidi
Masskofu wa Uswizi watawatuma vijana watatu kwenye Matayarisho ya Sinodi la Roma yatakayofanyika mnamo mwezi Machi kwa matayarisho ya “Youth Synod” la Papa Francis, kituo cha 20min.ch kimeripoti.
Baraza la Upapa lenye utata la Tamaduni liliomba watumwe wajumbe "walikosoalo Kanisa" na "wasioamini uwepo wa Mungu".
Mmoja wao ni Jonas Feldman, mwenye umri wa miaka 25, Mkatoliki asiye mwamilifu ambaye huyapinva Mafundisho ya Kikatolikj na huumga mkono uavyaji mimba, ushoga, falaka, chama cha kijani cha uthanasia, na chama kikali cha mrengo wa kushoto. Atamwambia Papa Francis kwamba hataki kuwa mwanachama wa taasisi ambayo "hubagua dhidi ya mapenzi ya kishoga".
Mjumbe mwingine ni mwanahabari Sandro Bucher, mwenye umri wa miaka 25, mwanachama wa angalau vyama 5 vipingavyo Kanisa. Bucher huchukulia Kanisa kama "adui wa maendeleo" na atamwambia Francis "rekebisha uharibifu unaifanywa na Kanisa Katoliki".
Mjumbe wa tatu ni Medea Sarbach, mwenye umri wa miaka 23, mwanafunzi wa Teolojia. Ametambulishwa …Zaidi