sw.news
55

Francis Asherehekea Harusi Kwenye Ndege

Papa Francis alirasimisha ndoa ya wapenzi wawili kwenye ndege alipokuwa akisafiri kuelekea Peru kutoka Chile mnamo tarehe 18 mwezi Januari.

Wapenzi hao wawili, Paula Podeesta na Carlos Ciuffardi, ambao ni wafanyakazi wa ndege, wamekuwa katika ndoa ya kisheria kwa miaka mingi. Zilizalz la mwaka wa 2010 liliharibu Kanisa ambalo walitarajia kuandaa sherehe ya kufunga ndoa.

Mtetezi wa Francis Padre Antonio Spadaro aliandika kwenye mtandao wa "Twitter" kuwa hiyo ndiyo iliyokuwa "ndoa ya kwanza kabisa kuongozwa na Papa katika safari ya ndege"

#newsGmdtskruoc