sw.news
70

Padre "Abariki" Ndoa Ya Kishoga, Askofu Akosa Kuchukua Hatua Yoyote

Jumamosi iliyopita Padre wa Italiano Giuseppe Gobbo alizibariki pete za ndoa ya kishoga kati shoga wawili (34, 37) mjini Schio, Kaskazini mwa Italia. Baada ya maandamano Askofu Beniamino Pizziol alimwita Gobbo.

Kesi hiyo ilitamatishwa bila matokeo yoyote dhidi ya Kasisi huyo. Askofu Pizziol alitoa ujumbe kwa wanahabari akidai kuwa Gobbo alipotoshwa na "Hisia za Mapenzi ya KIchungaji". Makasisi wanafaa kuwa wenye busara zaidi na utambuzi, ujumbe hua umesema.

Picha: © rflag torn, flickr, CC BY-SA, #newsLgslghunos