sw.news
86

Kuomba Msamaha, Padre Huyu Alistahimili Miaka Mingi Ya Shuruma Bandia

Kikundi tatanishi cha Survivors Network of those Abused by Priests lilimwomba msamaha Padre Joseh Jiang, padre wa Dayosisi kuu ya Mtakatifu Louis, nchini Marekani, kwani kikundi hicho kilikuwa kimeshutumu kwa madai bandia ya dhulma manmo mwaka wa 2012.

Mtandao huo ulikiri kuwa "ripoti bandia kuhusu dhulma za kijinsia zisemekanazo kutekelezwa na wachungaji huwepo" na kuwa wao "huwaumiza wachungaji ambao walishutumiwa kwa madai bandia na pia Kanisa Katoliki la Roma".

#newsZwdjleobct