sw.news
86

Francis Kuandaa Mlo Katika Kanisa Kuu La Bologna

Papa Francis atazuru Bologna, nchini Italia, mnamo tarehe 1 mwezi Oktoba. Mtandao rasmi wa Vatikani news.va umetangaza kupitia kwa mtandao wake wa Facebook kuwa Papa Francis atashiriki mlo na maskini waliochaguliwa, wakimbizi na walemavu ndani ya Kanisa Kuu la San Petronio.

#newsSdmefgdcoz