sw.news
67

Kuna Uwezekano Wa Tatizo La Idadi Ya Watu Duniani Kote

Kulingana na ripoti ya hivi maajuzi ya shirika la Umoja wa Mataifa kuhusuiana na Matarajio ya Idadi ya Watu Duniani inaonyesha kuwa idadi ya watu duniani inaelekea kupungua. Katika nusu ya mataifa ya dunia, kiwango cha uzazi tayari kimefika chini ya watoto wawili kwa kila mwanamke. Kiwango cha uzazi barani Afrika kinapungua.

Umoja wa Mataifa unatarajia kuwa bara la Uropa litawapoteza watu milioni 90 kufikia mwaka wa 2100. Idadi hii ni zaidi ya idadi ya watu nchini Ujerumani, taifa kubwa zaidi la bara Uropa.

Picha: © jdog90, CC BY, #newsSrpkfjglqj