sw.news
55

Mabadilko Makuu Nchini Chile

Vatikani imetangaza kuwa Papa Francis atazuru Chile na Peru mnamo Januari mwaka ujao wa 2018. Gazeti la Chile El Telegrafo limebainisha kuwa nchi hiyo imepata mabadiliko makuu tangu wakati wa ziara ya John Paul II mnamo mwaka wa 1987. Wakati huo, Chile ilikua na watu milioni 12 ambao, zaidi ya 70% walikua wakatoliki. Sasa, Chile ina watu milioni 18, na idadi ya Wakatoliki imepungua chini ya 59%.

Picha: © Julio Carrasco Valenzuela, CC BY-NC, #newsQzlvztngni