sw.news
42

Bermuda Yafutilia Mbali Upuuzi Wa "Ndoa Za Kishoga".

John Rankin, balozi wa zamani wa Uingereza na Gavana wa sasa wa Bernuda, amepiga marufuku haki ya shoga "kufunga ndoa". Bermuda ni jimbo huru la Uingereza katika bahari za Kaskazini mwa Atlantiki.

Marekebisho haya muhimu hulifanya Bermuda taifa la kwanza duniani kufutilia mbali kosa la ndoa za kishoga lililoanzishwa mnamo mwezi Mei mwaka wa 2017 na kupingwa na 69% ya wananchi.

Picha: John Rankin, © UK Government, CC BY-SA, #newsAuiotxupac