De Mattei: " Baba Mtakatifu, Wewe Ndiwe wa Kwanza Kuwajibikia Utata"
![](https://seedus4268.gloriatv.net/storage1/qc0lokfu6tl3683r5g1cvx4tz7g81vd0po927ns.webp?scale=on&secure=uqJFezJQa-Qfkz7pniScXQ&expires=1720024927)
Kaizungumza na kituo cha Catholic Family News (Aprili 7), msomi huyo alisema kwamba haitoshi kuyakana makosa ila wanaoyaeneza makosa hayo wanastahili " kutajwa kwa majina".
"Le hii ni kazima tukubali kwamba papa mwenyewe hueneza na kusambaza makosa na uzushi Kanisani."
De Mattei ahimiza kuwe na ujasiri wa kusema: "Baba Mtakatifu, wewe ndiwe wa kwanza kuwajibikia utata uliopo leo Kanisani."
Na, " Wewe ndiwe wa kwanza kuwajibikia uzushi unaotanda Kanisani leo. Wa kwanza, lakini sio wa pekee ulio na wajibu huo.
Picha: © Mazur/catholicchurch.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsJfvogriyql