sw.news
31

Iwapo Gloria.tv Haingekuwepo Ingetubidi Tuibuni

Kituo cha Gloria.tv kimekuwa kituo mbadala cha kdini bali na mitandao ya kijamii ambayo imenyakua umiliki kamili na sasa inaendelea kubagua dhidi ya maudhui ya Kikatoliki.

Mtumizi wa mtandao wa Twitter Olinda Hassan alikiri hivi maajuzi kwa wanahabari wa kisiri kuwa mtandao wake "unalenga kuwafanya watu wabaya kutojitokeza". Bahati mbaya ni kuwa bila shaka sisi Wakatoliki tumehusishwa miongoni mwa watu hao "wabaya".

Katika msimu wa kiangazi mnamo mwaka wa 2017 Gloria.tv pamoja na vituo vingine vya Kikatoliki vilishuhudia upungufu wa ghafla wa wafuasi katika mitando yao kwenye mitandao ya kijamii. Tuliboresha juhudi zetu tangu mwezi Oktoba mwaka wa 2017 na kwa mara nyingine tunaendelea kukua.

Tunakusihi kwa unyenyekevu usaidie ukuaji huu. Kwa kusaidia Gloria.tv, utakuwa ukikuza mradi wa Kikatoliki ulimwenguni kote. Msaada wako huenda moja kwa moja katika uekezaji utakaowezesha ukuaji zaidi. Kikundi cha Wakatoliki ambao hujitolea kuendeleza shughuli za Gloria.tv usiku na mchana bila malipo.

Ni changamoto kuu kudumisha mradi wetu wa kote ulimwenguni, Tafadhali, jiunge nasi na $50, $100, au chochote utakachofanikiwa kupata. Unawezesha jukwaa hili.

Saidia Gloria.tv

#newsDxrgbfrcpd