sw.news
72

[Kilutheri] Vatikani Yaadimisha Mabadiliko Ya Kilutheri Kwa kuunda Mhuri

Vatikani ilitoa mhuri kwa maadimisho ya "miaka 500 ya marekebisho ya Kiprotestanti".

Picha hiyo inaonyesha Wajerumani Martin Luther na Philipp Melanchton wakiwa kwenye miguu ya msalaba wa Kristo.

Imechukuliwa kutoka kwa Kanisa la Protestant All Saints' church, almaarufu kama Schlosskirche (Castle church) mjini Wittenberg, pahala ambapo Luther alisemekana kueeka tasnifu zake 95 mnamo mwaka wa 1517.

#newsFmyedesnef