sw.news
70

Askofu Azishutumu Kampeni Za Kisiasa Za Francis

Monsignor Luigi Ngegri, aliyekuwa askofu wa Ferrara, nchini Italia, alizishutumu kimaksudi kampeni anazozifanya Papa Francis za kupendekeza kuletwa kwa haki ya kuwa raia wa Italia kwa njia ya Kuzaliwa nchini humo, "Ni lazima Kanisa liziongoze nyoyo, wala sio kuamua sheria."

Akiandika kwenye mtandao waLa Verità Neri alionya dhidi kupatiana uraia kwa njiabya kiotomatiki, bila kuchunguza, pamoja na mambo mengine, tamaduni za Uropa ya Kikristo.

Ripoti juu ya nakala hiyo iliyochaoishwa kwenye mtandao wa Il Giornale iliibua maoni 61 ambayo 60 yanamkosoa Papa Francis.

Picha: Luigi Negri, © Giorgio Minguzzi, CC BY-SA, #newsXsplmwqxlt