sw.news
109

Uabudu Wa Miungu Ya Kihindi Kanisani, Askofu Aomba Msamaha, Kasisi Mkuu Ajiuzulu

Mnamo siku ya Jumapili Padre Juan José Mateos Castro, Kasisi Mkuu wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Cádiz y Ceuta, alikaribisha msafara wa Kihindi kwa heshima ya sanamu ya Kihindi Ganesh katika Kanisa …Zaidi
Mnamo siku ya Jumapili Padre Juan José Mateos Castro, Kasisi Mkuu wa Dayosisi ya Kikatoliki ya Cádiz y Ceuta, alikaribisha msafara wa Kihindi kwa heshima ya sanamu ya Kihindi Ganesh katika Kanisa katoliki la Bikra Maria Wa Afrika lililo Ceuta, Eneo la Kihispania lililo Kaskazini mwa Marekani.
Ganesh ni sanamu maarufu aliye na kichwa cha ndovu. Wakati wa msafara huo wa Kihindi Wakatoliki walimlaki Ganesh kwa wimbo wa Maria Salve rociera.
mnamo siku ya Jumatatu Askofu Bishop Rafael Zorzona Boy wa Cádiz y Ceutaaliomba msamaha huku akiliita tukio hilo kama "la kusikitisha" na kusema kuwa linaweza kusababisha "machungu, taharuki au kashfa katika Jamii ya Wakristo". Alikubali kujiuzului kwa Padre wake mkuu.
#newsRemymniskf