sw.news
36

Askofu Mpya Wa Porto, Wazini Hawastahili Kujiepusha Na Vitendo Vya Kujamiiana

Manuel Linda, Askofu mpya wa Porto, nchini Ureno, adui wa Ibada ya kale ya Kilatini, ni rafiki na mwenezaji dhambi ya mauti.

Akizungumza na Observador (Machi 17), Linda aliwakashifu Wakatoliki ambao walitaliki na kufunga ndoa tena ambao, ili kujiepusha na dhambi ya mauti, hujiepsuha na vitendo vya kujmamiiana. Kwake Linda watu hao "sio familia ya kweli."

Kinyume na hayo, Linda huwa "hatilii mkazo kwa sana" kwamba Wakatoliki waliotaliki na walio kwenye ndoa ya pili waishi katika maisha ya kujiepusha na vitendo vya kujamiiana.

Kwake Linda, kujiepusha na vitendo vua ngono ni " mipango ya kuishi pamoja tu" ila "sio familia".

Linda ana uhuru wa kuwa na maoni kama hayo lakini hafai kujitambulisha kama "Askofu Mkatoliki".

Picha: Manuel Linda, © Santuário de Fátima, CC BY-SA, #newsDxwcogzjrn