sw.news
67

Mrithi Wa Mtakatifu Benedict Ashtakiwa

Aliyekuwa aboti wa Montecassino, kiongozi wa monestari ya Wanabenedikti, Pietro Vittorelli (54), atapanda kizimbani kujibu mashtaka. Vittorelli alikuwa mrithi wa 191 wake Mtakatifu Benedikti, mwanzilishi wa shirika la Wanabenedikti. Ameshtakiwa kwa madai ya ubadhirifu na utumizi mbaya wa Uro 500,000 zilizotengewa abasia lake. Vitorelli ambaye ni shoga mwamilifu, alizitumia pesa hizo kudhamini ziara yake, haswa maeneo ya Brazil na London, kununua vyakula vya kipekee, manukato, nguo, mihadarati, kuwalipa waelekezi na sherehe za kishoga. Vitorelli ni daktari wa upasuaji.

Picha: Pietro Vittorelli, © Mazur, catholicchurch.org.uk, CC BY-NC-SA, #newsJaikcckkwy