sw.news
19

Kanisa Lililolala Linahitaji "Mwito" - Kutoka kwa Umormoni

Kadinali Soane Patita Paini Mafi wa Tonga na Niue, mmoja wa makadinali wanakshi wa liotolewa na Papa Francis, amesema kwenye mahojiano na kituo cha Kikatoliki (Februari 28) kuwa maendeleo ya kustaajabisha ya Umormoni huko Tonga ni "mwito" kwa Kanisa.

Dayosisi ya Kadinali huyo huwa na Wakatoliki chini ya 15,000 ambao, katika mataifa mengi, idadi hii ni ya patoko za wa wastani. Tangu mwana mdogo wa Mfalme, Prince Ata alipobadalili dini na kujiunga na Umormoni kutoka kwa umethodisti mnamo mwaka wa 2005, Umormi wa Tonga ulishuhudia maendeleo makuu na kufikia 60% ya idadi kamili ya wakazi.

Huku akimulika udhabiti wa uhubiri wa Umormoni, Mafi ana imani kuwa Kanisa inaweza kupata mafunzo kutoka kwa "matembezi ya lango kwa lango na sadaka za msaada kwa familia zinzoteseka na watu binafsi" ya Wamormoni.

Mashirika ya Kikatoliki huko Tonga, kama vile Caritas International au Jumuiya ya Mtakatifu Vincent de Paul, huwasaidia waliobaguliwa kwa kuwapa mahitaji muhimu na pia kufanya miradi ya kimazingira ambayo ni pamoja na kupanda miti katika ukingo wa bahari.

Kuna shaka kuu kwamba kazi ya kidini na ya kiroho inayotoka kwa kazi za Kikatoliki ni kidogo sana.

Picha: Soane Patita Paini Mafi, #newsKavvvfcrlw