sw.news
67

Itikadi Za Kihuria Huhatarisha Marekebisho Ya Kifedha Ya Vatikani

Papa Francis amebatilisha marekebisho ya kiuchumi ya Vatikani na anarejea kwenye mfumo wa kifanisi uliokuwa wa Italia. Kulingana na formiche.net hili pia lina sababu za kiitikadi kama vile Kadinali …Zaidi
Papa Francis amebatilisha marekebisho ya kiuchumi ya Vatikani na anarejea kwenye mfumo wa kifanisi uliokuwa wa Italia. Kulingana na formiche.net hili pia lina sababu za kiitikadi kama vile Kadinali Pell, mzushi wa Vatikani ambaye alishushwa vyeo pole pole, alikuwa mkosoaji wa nakala tatanishi ya Amoris Laetitia.
Miongoni mwa wapinzani wa Pell ni Kadinali mtetezi ushoga Francesco Coccopalmerio ambaye Kamati yake ya Kipapa ya Maandishi ya Sheria hupuuza marekebisho ya Pell. Kwa upande mwingine, kadinali Wilfrid Fox Napier wa Durban, nchini Afrika Kusini, ambaye ni mwanachama wa Kamati ya Vatikani ya Uchumi na mkosoaji wa Amoris Laetitia, aliyaunga mkono marekebisho hayo.
Matukio ya hivi maajuzi: Kadinali Domenico Calcango, rais wa Ofisi ya Vatikani ya ambayo hudhibiti ufadhili wa Vatikani almaarufu Administration of the Patrimony of the Holy See, ambaye alimpinga Pell vikali, anahojiwa nchini Italia kwa madai ya ubadhirifu kwenye dayosisi iliyokuwa yake.
Picha: Domenico Calcagno, © …Zaidi