sw.news
50

"Hakuna Moto Jehanamu" - Kadinali Wa London Apuuza Injili

Kadinali wa Westminster Vincent Nichols aliambia kituo cha BBC (Machi 30) kwamba moto na kibiriti "kamwe havijawahi kuwa katika mafundisho ya Kikatoliki" kuhusiana na jahanamu huku akidai kwamba hili …More
Kadinali wa Westminster Vincent Nichols aliambia kituo cha BBC (Machi 30) kwamba moto na kibiriti "kamwe havijawahi kuwa katika mafundisho ya Kikatoliki" kuhusiana na jahanamu huku akidai kwamba hili hutokana na taswira.
Nichol aliwaweka Lenin, Hitler au Churchill, mchinjaji wa Dresden, miongoni mwa watakatifu kwa kupendekeza kwama huenda jahanamu ikawa tupu ingawaje Kristu alisema katika kitabu cha Mt 26:24 kwamba Judas yumo Jahanamu.
Nichols hafahamu kwamba Kristo huiita jahanamu "Joko la moto" (Mt 13:50) ambako "moto hauzimiki" (Mk 9:48).
Ufunuo wa Mtakatifu John unaeleza jahanamu kama pahali ambapo waovu "huteswa kwa moto na kibiriti" (Ufunuo 14:10-11) na kama "ziwa la moto" (Ufunuo 20:14-15).
Katika kitabu cha Mt 7:13-14 Kristo anasema, " “Ingieni kupitia mlango mwembamba, kwa maana lango ni pana na njia ni pana ielekeayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa kupitia lango hilo. Lakini mlango ni mwembamba na njia ni finyu ielekeayo kwenye uzima, nao ni wachache tu waionao" - kusema …More
sw.news
36

Habari Za Mashtaka Ya Siri ya Pell Zimeibuka

Katika majuma manne ya kusikizwa kwa mashtaka dhidi ya Kadinali George Pell mashtaka hayo ya uongo pamoja na ushahidi unaosemekana yamefichwa kama siri. Lakini kulingana na TheAge.com (Machi 30) habari …More
Katika majuma manne ya kusikizwa kwa mashtaka dhidi ya Kadinali George Pell mashtaka hayo ya uongo pamoja na ushahidi unaosemekana yamefichwa kama siri.
Lakini kulingana na TheAge.com (Machi 30) habari kuhusiana na mashtaka hayo ya uongo zimeibuka.
.• Pell ameshtakiwa kwa madai ya kuwadhulumu kingono wanakwaya wawili katika Kanisa kuu la Mtakatifu Patrick la Melbourne mwishoni mwa miaka ya 1990 alipokuwa Askofu mkuu wa Melbourne ingawaje wakati wa matukio haya hakuwa peke yake na wanakwaya wengine walikana kuona jambo lolote la kushukiwa.
• Ameshtakiwa kwa kutenda makosa katika kidimbwi cha Ballarat lakini wafanyikazi walikana kuwahi kuona jambo lolote la kudhaniwa viovu.
•Ameshtakiwa kwa kufanya makosa katika ukumbi wa sinema wakati wa maonyesho ya "Close Encounter of the Third Kind" mwishani mwa miaka ya 1970. Lakini meneja wa ukumbi huo alisema kwamba hakumbuki akiwona Pell kwenye ukumbi huo.
Wakati wa kusikilizwa kwa kesi hiyo, Kadinali Pell alidumisha tabia yenye upole mwingi.
#…More
sw.news
35

Kila Mwaka tena, Francis Apiga Magoti Mbele Ya Wafungwa

Mnamo siku ya Alhamisi Takatifu, Papa Francis "aliongoza " Misa katika Gereza la Roma Regina Coeli na kuiosha miguu ya wafungwa 12 wakiwemo Wakatoliki, Mwanaothodoksi, Mwislamu, na Mbudha. Kama ilivyokuwa …More
Mnamo siku ya Alhamisi Takatifu, Papa Francis "aliongoza " Misa katika Gereza la Roma Regina Coeli na kuiosha miguu ya wafungwa 12 wakiwemo Wakatoliki, Mwanaothodoksi, Mwislamu, na Mbudha.
Kama ilivyokuwa imetabiriwa na Novus Ordo Watch, Francis alipiga magoti wakati wa ibada hiyo ya kuwaosha miguu huku akiiosha na kuibusu miguu.
Vinginevyo, kwa fahari Francis hukataa kupiga gpti mbele ya Sakramenti Takatifu.
Wakati wa Misa hiyo, Francis alisema kwamba yeye huugua kutokana na watoto wa macho na kwamba atafanyiwa upasuaji mwaka ujao.
#newsUeedlwwqcn
sw.news
41

Francis Akashifu "Tabia Ya Kutamausha" Ya Kuunda "Miungu" Wa "Ukweli Dhahania"

Katika hotuba yake ya Mafuta Matakatifu, Papa Francis aliwaonya makasisi "dhidi ya tabia ya kuchukiza " ya kuanguka majaribuni ya kuunda "miungu" wa "ukweli fulani wa dhahania". Ana imani kwamba …More
Katika hotuba yake ya Mafuta Matakatifu, Papa Francis aliwaonya makasisi "dhidi ya tabia ya kuchukiza " ya kuanguka majaribuni ya kuunda "miungu" wa "ukweli fulani wa dhahania".
Ana imani kwamba kurejelea sheria ya Kanisa na Mafundisho wakati wa hotuba huenda "kukawatenganisha" waumini wa kawaida na Yesu Kristo.
Pia alionya kwamba maneno ya Kristo " Enenda na usitende dhambi tena" huenda yakawa na "sauti ya kisheria".
Deacon Nick Donnelly alipendekeza kwenye mtandao wa Twitter kwamba hili lina maana kwamba makasisi wanastajili " kuufuata mfano wa Francis na 'kuziabudu' nafsi zao".
#newsTaxpttjptf
sw.news
50

Kauli Ya Vatikani Yathibitisha: Francis Ni Mzushi

Afisi ya utangazaji ya Vatikani ilikiri mnamo tarehe 29 mwezi Machi kwamba "Baba Mtakatifu Francis" alimkaribisha kwa mara nyingine mwanahabari mwovu Eugenio Scalfari. Baada ya mkutano huo, Scalfari …More
Afisi ya utangazaji ya Vatikani ilikiri mnamo tarehe 29 mwezi Machi kwamba "Baba Mtakatifu Francis" alimkaribisha kwa mara nyingine mwanahabari mwovu Eugenio Scalfari.
Baada ya mkutano huo, Scalfari aliandika kwenye gazeti lake lipingalo Kanisa Katoliki La Repubblica kwamba Francis alikana uwepo wa jahanamu.
Afisi hiyo ya utangazaji haijapinga kwamba Scalfari aliripoti kauli ya Francis kwa njia iliyo na maudhui sahihi ila anautuliza umma kwa kusema kwamba huenda Scalfari hakuyatumia maneno halisi.
Hapo awali, Scalfari amechapisha nakala baada ya kuzungumza na Francis mnamo mwezi Septemba 2013, Julai 2014, Machi 2015, Novemba 2015 na 2016, na Julai 2017. Nakala tano kati ya zote hizi ziliibua mkano kutoka Vatikani.
Lakini mikano hii haiwezi kuchukuliwa kwa uzito kwani Francis humwalika Scalfari kila wakati ili ampe habari za kuandika kwenye nakala zake mpya.
Hivyo basi ni jambo lisilo pingika kwamba Francis huzitumia kauli zake za kutamausha kwa Scalfari ili kusababisha rabsha miongoni …More
sw.news
30

Habari Za Hivi Punde: "Halijakaribia"

Kulingana na tweet ya Francis X Rocca msemaji mmoja wa Vatikani amesema kwamba kutiwa sahihi kwa makubaliano na Uchina kuhusiana na Maaskofu "halijakaribia" Picha: © Max Braun, CC BY-SA, #newsGuhtsskozkMore
Kulingana na tweet ya Francis X Rocca msemaji mmoja wa Vatikani amesema kwamba kutiwa sahihi kwa makubaliano na Uchina kuhusiana na Maaskofu "halijakaribia"
Picha: © Max Braun, CC BY-SA, #newsGuhtsskozk
sw.news
36

"Hakuna Jahanamu" - Francis Asisitiza Urithi Wake Kama Mzushi

”Non esiste un inferno” – “Hakuna jahanamu", Papa Francis alimwambia rafikiye, mwanahabari ambaye hulipinga Kanisa Katoliki Eugenio Scalfari wa La Repubblica (Machi 28). Francis alisema kwamba roho …More
”Non esiste un inferno” – “Hakuna jahanamu", Papa Francis alimwambia rafikiye, mwanahabari ambaye hulipinga Kanisa Katoliki Eugenio Scalfari wa La Repubblica (Machi 28).
Francis alisema kwamba roho mbaya huwa "haziadhibiwi". Roho ambazo hutubu hupata msamaha na kuenda mbinguni, "Lakini zile ambazo hukosa kutubu na hivyo basi kukosa msamaha, hutoweka. Hakuna jahanamu. Kuna kutoweka kwa roho zenye dhambi."
Nadharia ya Francis inalingana na mafunzo ya Jehova Witnesses.
Lakini Kanisa hukiri Kwa Yesu Kristu kwamba roho ovu zitaadhibiwa kwa "moto usiozimika" na "wa milele", "ambako kutakuwa na mayowe na kusaga meno".
Kulingana na Katekisimu ya Kanisa Katoliki "Mafuzno ya Kanisa huyakinisha uwepo wa jahanamu na uwepo wake wa milele".
#newsNmnlddnokz
sw.news
36

Askofu Mpya Wa Porto, Wazini Hawastahili Kujiepusha Na Vitendo Vya Kujamiiana

Manuel Linda, Askofu mpya wa Porto, nchini Ureno, adui wa Ibada ya kale ya Kilatini, ni rafiki na mwenezaji dhambi ya mauti. Akizungumza na Observador (Machi 17), Linda aliwakashifu Wakatoliki ambao …More
Manuel Linda, Askofu mpya wa Porto, nchini Ureno, adui wa Ibada ya kale ya Kilatini, ni rafiki na mwenezaji dhambi ya mauti.
Akizungumza na Observador (Machi 17), Linda aliwakashifu Wakatoliki ambao walitaliki na kufunga ndoa tena ambao, ili kujiepusha na dhambi ya mauti, hujiepsuha na vitendo vya kujmamiiana. Kwake Linda watu hao "sio familia ya kweli."
Kinyume na hayo, Linda huwa "hatilii mkazo kwa sana" kwamba Wakatoliki waliotaliki na walio kwenye ndoa ya pili waishi katika maisha ya kujiepusha na vitendo vya kujamiiana.
Kwake Linda, kujiepusha na vitendo vua ngono ni " mipango ya kuishi pamoja tu" ila "sio familia".
Linda ana uhuru wa kuwa na maoni kama hayo lakini hafai kujitambulisha kama "Askofu Mkatoliki".
Picha: Manuel Linda, © Santuário de Fátima, CC BY-SA, #newsDxwcogzjrn
sw.news
29

Kasisi Acheza Densi Ya Jumapili Ya Matawi

Mwanahabari Mwitaliano Marco Tosatti alichapisha mnamo tarehe 27 mwezi Machi video ya Kasisi Mbrazili akicheza densi wakati wa Ibada ya Misa ya Jumapili ya Matawi. Tosatii aliipokea video hiyo kutoka …More
Mwanahabari Mwitaliano Marco Tosatti alichapisha mnamo tarehe 27 mwezi Machi video ya Kasisi Mbrazili akicheza densi wakati wa Ibada ya Misa ya Jumapili ya Matawi.
Tosatii aliipokea video hiyo kutoka kwa rafikiye na hakusema pahali ambapo tukio hilo lilifanyika.
Wakati wa Jumapili ya Matawi maelezo ya Injili ya Shauku ya Kristo husomwa.
#newsLspuaeyvoc
sw.news
27

Kituo Cha Vatikani Chamkashifu Mkuu Wa Kituo Cha Vatikan News Kwa Kubadilisha Kwa Hila

Kituo cha Vatikni Il Sismografo (Machi 28) kilisema kwamba mhariri mkuu wa Vatican News, Myesu Mjerumani Padre Bernd Hagenkord, alibadilisha kwa hila "chapisho lake kwenye mtandao wa Facebook". Ukweli …More
Kituo cha Vatikni Il Sismografo (Machi 28) kilisema kwamba mhariri mkuu wa Vatican News, Myesu Mjerumani Padre Bernd Hagenkord, alibadilisha kwa hila "chapisho lake kwenye mtandao wa Facebook".
Ukweli ni kuwa, Hagenkord alibadilisha kwa hila mnamo tarehe 22 mwezi Machi maoni ambayo aliandika miongoni mwa maoni mengine ya watumizi kwenye blogu lake la kibinafsi la blog.radiovatikan.de.
Hagenkord alisema kwamba kuchapishwa kwa sehemu ya barua ya kibinafsi ya Benedict XVI na kinara aliyeondolewa wa Ofisi Ya Vatikani ya Mawasiliano, Monsignor Dario Viganò, yalikuwa yamekubaliwa.
Siku kadhaa baadae, Hagenkord alifuta kauli hiyo jambo llilo na maana kuwa ilikuwa potovu.
Hagenkord anastahili kufafanua suala hili kwani liliripotiwa ulimwenguni kote.
#newsYymftyfkne
sw.news
32

Kasisi Mfaransa, Papa Francis Aliniruhusu Niwabariki Wenzi Wa Kishoga

Padre Daniel Duigou, ambaye alikuwa mwanahabarina ambaye sasa ndiye paroko wa Saint-Merry mjini Paris, ameambia kituo cha Konbini News (Machi 26) kwamba Papa Francis alipendezwa na ukweli kuwa Duigou …More
Padre Daniel Duigou, ambaye alikuwa mwanahabarina ambaye sasa ndiye paroko wa Saint-Merry mjini Paris, ameambia kituo cha Konbini News (Machi 26) kwamba Papa Francis alipendezwa na ukweli kuwa Duigou "huwabariki" wenzi wa kishoga.
Duigou alikaribishwa hivi maajuzi na Francis kwa muda wa dakika 45.
Wakati wa mkutano huo Francis alimuuliza Duigou iwapo alikuwa akizibariki ndoa za "waliopatiwa talaka na kufunga ndoa tena". Duigou aliyakinisha na kuongeza, "Pia nawabariki wenzi wa kishoga."
Kulingana na Duigou, Francis alijibu kuwa baraka ina maana kwamba Mungu huwa na dhana nzuri juu watu na kuongeza kuwa Mungu huwa na dhana nzuri juu ya watu wote.
Kwa swali iwapo Francis huunga mkono kuwabariki mashoga, Duigou alijibu, "Bila shaka. Halihusiani na kuwaoza."
Endapo huu ni ukweli, Francis pia huunga mkono kuwabariki hadhdarani wanovutiwa kingono na watoto, wabaguzi wa rangi, wauaji watoto, wauaji wa kimbari au wanachama wa Mafia.
#newsKgsdomvqyv
sw.news
33

Askofu Ana Wasiwasi Juu ya Misa Ya Kale Ya Kilatini - Wala Sio Kuhitilafiana na Injili

Askofu mpya aliyeteuliwa Manuel da Silva Rodrigues Linda, 61, wa Porto, nchini Ureno, aliambia Jornal de Noticias (March 25) kwamba yeye huipna Misa ya Kale ya Kilatini "kwa wasiwasi mwingi" kwa sababu …More
Askofu mpya aliyeteuliwa Manuel da Silva Rodrigues Linda, 61, wa Porto, nchini Ureno, aliambia Jornal de Noticias (March 25) kwamba yeye huipna Misa ya Kale ya Kilatini "kwa wasiwasi mwingi" kwa sababu "huwavutia katika kesi kadhaa vijana na hata wasomi".
Askofu huyo mhuria hawezi kuelewa "ni kwanini watu hawa huridhishwa na ibada hizi".
Katika mahojiano hayo hayo Linda aliwatetea makasisi waliofuga ndoa na Ekaristi kwa wazini jambo ambalo huhitilafiana na Injili.
Kufikia sasa, Linda amekuwa Askofu wa Wanajeshi nchini Ureno.
Picha: Manuel Linda, #newsAxnlulufov
sw.news
27

Gänswein Hupambana Na Matokeo Ya Kupoteza Uwezo Wa Kusikia Kwa Ghafla

Katibu wa kibinafsi wa Benedict XVI, Askofu Mkuu George Gänswein, 61, angali anaugua kutokana na shida ya kupoteza uwezo wa kusikia kwa ghafla ambayo ilimkumba Septemba iliyopita. Gänswein aliambia …More
Katibu wa kibinafsi wa Benedict XVI, Askofu Mkuu George Gänswein, 61, angali anaugua kutokana na shida ya kupoteza uwezo wa kusikia kwa ghafla ambayo ilimkumba Septemba iliyopita.
Gänswein aliambia jarida la Kijerumani Bunte (Machi 27) kwamba ubongo wake ungali unaendelea kuzoea kufanya kazi kwa kutegemea sikio moja.
Kulingana na Gänswein, afya ya Benedict XVI na ya Papa Francis ziko salama.
Picha: Georg Gänswein, © Raimond Spekking, CC BY-SA, #newsNsbpxvyfkn
sw.news
37

Mwadhiriwa Wa Kwanza Wa Maafikiano Ovu Kati Ya Vatikani Na Uchina: Askofu Mchina Akamatwa

Maafisa wa polisi wa Uchina wamemkamata Askofu Vincent Guo Xijin wa Mindong, ambaye Vatikani ilimuuliza mnamo mwaka wa 2017 ajiondoe na kumpisha Askofu aliyeharamishwa wa serikaliZhan Silu. Kulingana …More
Maafisa wa polisi wa Uchina wamemkamata Askofu Vincent Guo Xijin wa Mindong, ambaye Vatikani ilimuuliza mnamo mwaka wa 2017 ajiondoe na kumpisha Askofu aliyeharamishwa wa serikaliZhan Silu.
Kulingana na kituo cha Asia News Askofu huyo aliitwa kwenye ofisi ya masuala ya kidini mnamo tarehe 26 mwezi Machi kuzungumza na maafisa wa Serikali.
Baada ya masaa mawili alirejea kwenye makao yake, akiitayarisha mifuko yake na kuchukuliwa saa nne usiku.
Wasemaji wa Kanisa Katoliki wanadai kwamba Guo alichukuliwa kwa sababu alikataa kusherehekea Litujia za Pasaka pamoja na Zhan Silu, Askofu wa taifa ambaye anatarajiwa kuichukua nafasi yake.
Makubaliano kati ya Vatikani na Serikali ya Ukomunisti ya Uchina yanatarajiwa.
#newsPgtyznnwqw
sw.news
23

Shahidi: Vatikani Ilwaidanganya Wanachama Wa Timu Ya Uandishi Ya Nakala Ya Matayarisho Ya Sinodi

Isaac Withers kutoka Uingereza, mmoja wa waandishi wa nakala ya mwisho ya matayarisho ya Sinodi la vijana, ya Vatikani, alikiri kwenye mtandao wa Facebook (Machi 25) kwamba Vatikani ilibadilisha kwa …More
Isaac Withers kutoka Uingereza, mmoja wa waandishi wa nakala ya mwisho ya matayarisho ya Sinodi la vijana, ya Vatikani, alikiri kwenye mtandao wa Facebook (Machi 25) kwamba Vatikani ilibadilisha kwa hila maandishi ya timu aliyokuwa.
Sababu: TImu hiyo ilipokea muhtasari tu wa mapendekezo mengi ya matayarisho ya sinodi yaliyoandikwa kwenye vikundi mtandaoni Facebook.
Kulingana na muhtasari huo, Withers alisema kwamba kwenye nakala kuu kwa jumla kwamba "baadhi" ya vijana wametiwa na "kimya, utafakari, na litajia za kale za heshima".
Ni baadaye tu ndipo akagundua kwamba kulikuwa na jamii "kubwa" mtandaoni iliyotaka misa ya kale kuwakilishwa kwenye nakala hiyo.
Withers anakiri kwamba "nakala hiyo ingelikuwa tofauti kama jamii ya mtandaoni ingeliwakilishwa vyema".
Na, "Niligundua nilipokuwa nikiyapitia maoni haya kwamba sisi kama timu ya uandishi hatukuonyeshwa dhamani ya maoni ya mtandaoni."
Picha: © Joseph Shaw, CC BY-NC-SA, #newsMtjaweqooh
sw.news
24

Askofu Mkuu Wa Berlin Anataka "Kudhamini" Dhambi Ya Mauti Ya Ushoga

Haliwezi kuendelea kwamba Kanisa halidhamini "mapenzi" na "uaminifu" wa shoga kulingana na Askofu Mkuu wa Berlin Heiner Koch. Akiandika kwenye tolea la Aprili la jarida la Kijerumani Herder KorrespondenzMore
Haliwezi kuendelea kwamba Kanisa halidhamini "mapenzi" na "uaminifu" wa shoga kulingana na Askofu Mkuu wa Berlin Heiner Koch.
Akiandika kwenye tolea la Aprili la jarida la Kijerumani Herder Korrespondenz Koch aliita "uzoefu" na "hekima" ya shoga "utajiri" kwa Kanisa.
Koch ana historia ya kutoa kauli za kupendelea ushoga na ni mwenezaji wa uhamaji haramu.
Picha: Heiner Koch, © Rabanus Flavus, CC BY-SA, #newsBmsgkzaxyp
sw.news
17

Sinodi Bandia La Vijana, "Hakuna Kashfa Dhidi Ya Misa Ya Trent" - Vatikani Yakana

Waliokuwa na jukumu la kikundi cha wazungumzao Kiingereza cha matayarisho ya Sinodi la vijana kwenye mtandao wa Facebook walijitetea mnamo tarehe 26 mwezi Machi kutokana na shutuma kwamba walisetiriMore
Waliokuwa na jukumu la kikundi cha wazungumzao Kiingereza cha matayarisho ya Sinodi la vijana kwenye mtandao wa Facebook walijitetea mnamo tarehe 26 mwezi Machi kutokana na shutuma kwamba walisetiri madai ya Misa ya Kale miongoni mwa wanachama wa kikundi chao.
"Ni sharti ifafanuliwe kwamba hakujakuwa na kashfa yoyote dhidi ya wanaopendelea aina za kale za litajia."
Lakini hao wanathibitisha uwepo wa kashfa ya aina hiyo kwa kuwakashifu vijana wanaopendelea ibadya kale kwa kuwaita "aina ya wanaharakati" na kudai kwamba "kulikuwa na sauti zaidi zilizokuwa zikizungumza kuhusu aina za kale za liajia kushinda ukweli uliokuwepo".
"Ukweli" huko Vatiani huonekana kuelezwa vyema zaidi na vijana wakali waliochaguliwa ambao walieneza itikadi za kishoga.
Mashambulizi ya Vatikani dhidi ya vijana wa ibada ya kale hubadilika na kuwa ya kihisia na ad hominem, ""Ukosefu wa uaminifu ambao uliyakumba maoni hayo ulikuwa wa kutamausha".
Mtu anafaa kuwafunza wafanyikazi wa Vatikani njia za kitaalam zaidi za …More
sw.news
26

Askofu Ajuzulu: Kwa Sababu Hakshikilia Kutosameheana Baada Ya Kifo

Mnamo tarehe 26 mwezi Machi, Papa Francis alikubali kujizulu kwa Askofu John McAreavey, 69, wa Dromore, Ayalandi. McAreavey alishinikizwa na vtombo vya habari kujiuzulu. kosa lake: Kama alivyotakiwa …More
Mnamo tarehe 26 mwezi Machi, Papa Francis alikubali kujizulu kwa Askofu John McAreavey, 69, wa Dromore, Ayalandi. McAreavey alishinikizwa na vtombo vya habari kujiuzulu.
kosa lake: Kama alivyotakiwa kufanya kama askofu wa dayosisi _ na kama vile Yesu Kristo, Neema za Mungu zilizo na mwili, angefanya - aliongoza mnamo mwaka wa 2002 mazishi ya Padre Malachy Finnegan ambaye alikuwa ameshutumiwa ila hakuhukumiwa kwa makosa ya dhulma za kijinsia.
Finnegan hutambulishwa kama "kasisi ambaye huvutiwa kingono na watoto" ingawaje gazeti la Irish Times lilimwita "shoga" mnamo tarehe 17 mwezi Machi.
Kujiuzulu kwa Askofu McAreavey ni ishara kwamba Kanisa Jipya sasa linatarajia makasisi na Maaskofu wake kukuza chuki na kutosameheana baada ya kifo.
Picha: John McAreavey, #newsFetssjshuo
sw.news
39

Sinodi Bandia La Vijana: Ombi La Misa Ya Kilatini Lapuuzwa Na Wazalendo Wa Vatikani

Wakati wa mkutano wa matayarisho ya sinodi la vijana, Vatikani iliandaa vikundi sita katika lugha tofauti kwenye mtandao wa Facebook vilivyoandaliwa watu wenye umri kati ya miaka 16 na 29. Kikundi cha …More
Wakati wa mkutano wa matayarisho ya sinodi la vijana, Vatikani iliandaa vikundi sita katika lugha tofauti kwenye mtandao wa Facebook vilivyoandaliwa watu wenye umri kati ya miaka 16 na 29. Kikundi cha wazungumzao Kiingereza kilikuwa na takriban washirika 2,000.
Vatikani iliahidi kwamba muhtasari wa majibu yote kutoka kwenye mtandao wa Facebook yangehusishwa kwenye kauli ya mwisho. Hili lilitokea kuwa uongo mtupu.
Kwenye kikundi hicho cha Kiingereza kulikuwa na ombi kubwa mno la uwezo zaidi wa kuifikia Misa ya Trent.
Lakini waandishi wa nakala ya mwisho waliyapuuza matakwa hayo kabisa na kutaja tu kwa jumla kwamba "baadhi" ya vijana huvutiwa na "kimya, kutafakari na litsjis za unyenyekevu za zamani".
Vijana hao ambao walisalitiwa na Vatikani hawakulichukuliwa jambo hilo vyema. Will Harris ni mmoja wa wengi ambao waliandika kwenye mtandao wa Facebook: "Ni kana kwamba ujumbe mkuu zaidi mlioupokea kutoka kwa kikundi hiki, huo wa kelele za vijana wakitaka tamaduni na litajia ya kale kutiliwa …More
sw.news
38

Uislamu Hauchukui Udhibiti Wa Ulaya - Ila Ni Kutokuwa Na Dini

Vijana wengi kutoka mataifa chungu nzima ya Ulaya hawafuati dini yoyote, kulingana na utafiti uliofanywa na profesa Stephen Bullivant wa Chuo Kikuu cha St Mary mjini London. Utafiti huo ulibaini kwamba …More
Vijana wengi kutoka mataifa chungu nzima ya Ulaya hawafuati dini yoyote, kulingana na utafiti uliofanywa na profesa Stephen Bullivant wa Chuo Kikuu cha St Mary mjini London.
Utafiti huo ulibaini kwamba katika taifa la Czech Republic 91% ya vijana kati ya umri wa miaka 16 na 29 hawana uhusiano na dini yoyote.
Katika mataifa ya Estonia, Uswidi na Uholanzi idadi hizo zi kati ya 70% na 80%. Baada ya Baraza la Pili la Vatikani Uholanzi walichukuliwa kuwa mfano mwema wa "ufufuo" ambao Kanisa lililosalia linafaa kuufuata.
Kanisa lifuatalo dini zaidi ni Upoli ambako 17% ya vijana hujitambulisha kama wasio na dini, huku wakifuatwa na Lithuania iliyo na 25%.
Picha: © Lawrence OP, CC BY-NC-ND, #newsOfjbnyfooq